Huu mtandao wa Airtel ni muda wa zaidi ya wiki sasa mawasiliano yake yamekuwa mabovu sana.
Unapiga huwezi kusikilizana kabisa kwani simu aidha ikatike au ikorome kama redio iliyokosa mawimbi .
Tunaomba mamlaka husika zichukue hatua kwani ni sawa na kuibiwa pesa zetu za vocha huku tukikosa mawasiliano bora.