E enstein1 Member Joined Jul 14, 2009 Posts 68 Reaction score 29 Nov 12, 2019 #1 Wanakupigia kuwa kuna pesa imekosewa kutumwa, unapowabaini wanakutukana matusi makubwa na kukata simu! Hii ni kero nyingine. Nafikiri wahanga wengine wapo. TCRA tafadhali.
Wanakupigia kuwa kuna pesa imekosewa kutumwa, unapowabaini wanakutukana matusi makubwa na kukata simu! Hii ni kero nyingine. Nafikiri wahanga wengine wapo. TCRA tafadhali.
Inna JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 11,194 Reaction score 27,096 Nov 12, 2019 #2 Tusubiri january usajili wa vidole labda utasaidia
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,622 Reaction score 5,251 Nov 12, 2019 #3 enstein1 said: Wanakupigia kuwa kuna pesa imekosewa kutumwa, unapowabaini wanakutukana matusi makubwa na kukata simu! Hii ni kero nyingine. Nafikiri wahanga wengine wapo. TCRA tafadhali. Click to expand... Hakuna kitu kam icho wanazingua tu tcra hawa.
enstein1 said: Wanakupigia kuwa kuna pesa imekosewa kutumwa, unapowabaini wanakutukana matusi makubwa na kukata simu! Hii ni kero nyingine. Nafikiri wahanga wengine wapo. TCRA tafadhali. Click to expand... Hakuna kitu kam icho wanazingua tu tcra hawa.
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,232 Reaction score 40,734 Nov 12, 2019 #4 Nadhani baada ya huu usajili mpya wa finger print mambo yatakuwa sawa