TCRA hawa wanaofanya upuuzi huu wanaboa sana wachukuliwe kali mapema

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
Bila shaka kama wewe ni mpekuzi wa mitandao mbalimbali ushakutana na watu wenye tabia ya kijinga ambayo inaenea kwa kasi sasa kama hii

TCRA.PNG

yaani watu hawa wanaboa mno mimi nashindwa kuwaelewa kuwa wamekosa kazi ya kufanya na kujiingizia kipato unakuta una spam na mapost ya kijinga kama haya unakuta mtu unasoma zako habari, unapitia comments za watu then unakutana na mpuuzi anayefanya mambo kama hizi, hawa watu ni wa kushughulikia mapema sana kwa kuwani mataahira wasiojielewa
 
ahaha! honestly me wananiuzi kwa sababu niki-click hzo link sikuti kilichoandikwa bali nakuta habari nyingine tofauti
 
Mimi nikiyakuta hayo wala sijali napita tu. Imekuwaje imekukamata hadi kuanzisha uzi, si upite tu au?...online kuna mengi sana...
 
Bila shaka kama wewe ni mpekuzi wa mitandao mbalimbali ushakutana na watu wenye tabia ya kijinga ambayo inaenea kwa kasi sasa kama hii

View attachment 358452

yaani watu hawa wanaboa mno mimi nashindwa kuwaelewa kuwa wamekosa kazi ya kufanya na kujiingizia kipato unakuta una spam na mapost ya kijinga kama haya unakuta mtu unasoma zako habari, unapitia comments za watu then unakutana na mpuuzi anayefanya mambo kama hizi, hawa watu ni wa kushughulikia mapema sana kwa kuwani mataahira wasiojielewa
kwanini umeleta huku aghrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Mmmhh
 
mleta uzi utakua mbea muache afanye yake nawe fanya yako acha ukilaza huo
 
Hasira ya nini mkuu, ukweli unabaki pale pale, vitu vingi vinaenda kizembekizembe, kesi haziendi, upelelezi unachelewa, lakini akiguswa mkuu, utashangaa kesi itakavyopelekwa speed.
nimekasirika ulivyosema jeshi llina nguvu............................................. linazo ndio lakini linzitumiaje???????
 
Shika lako fata yalio kileta hapa Mjini. TCRA wanajuwa kazi yao.
Huyo aliefanya ivo ana kazi yake
Na wewe fanya yako.
 
Binafsi yananikera sana... Cha msingi unapita tu.. Alaf kngine unfollow page zao ... Vnginevyo utajisumbua tu......
 
...dah.,unakuta mtu unasoma comments jitu linapost 'unasumbuliwa na matatizo ya ngozi ....'afu mielezo mirefuuu isiyohusiana na mada!
...maamae!
 
Back
Top Bottom