Waziri ajaye atutumbulie hili jipu
Premium Package TZS 219,000
azam local channel ni bure nadhani coz hata ikikata local channels bado zinaendelea
Premium Package TZS 219,000
azam local channel ni bure nadhani coz hata ikikata local channels bado zinaendelea
Mnataka bei elekezi hadi bundles za kwenye ving'amuzi vyenu?Free market economy;ukishindwa kumudu gharama unaachia ngazi.Go for FTA alilinunua babu hadi mjukuu analitumia.
Nani kakudanganya wesubiri kifurushi chako kiishe uone kama zitaonekana bure.
dstv ni jipu lingine lililofugwa na utawala uliopita, mimi sijalipia zaidi ya mwaka kuna mkali alifanya utundu sasa hivi nakula premium free of charge
Da tcra walitoa ufafanuzi kuwa channel za satellite hawaaziingilii biashara hivyo wao hawawezi kuweka bure ila Dstv kuna channel za kichina zote huwa ni bure kabisaaa so tujitahd sana,Azam local ni bure ofsn tunayo na hatijawahi kulipia,dstv wananitumia msg eti nihamie compact plus hiyo ni sh ngapi bana mi nalipa 23500 maana hakuna namna