F Flores Member Joined May 19, 2013 Posts 39 Reaction score 3 Sep 2, 2013 #1 Samahan jaman hv kwa wale waliofanya interview TCC tar 22 na 23 kuna walioitwa? na wale waliofanya mwezi wa saba vip kuna walioitwa fo further interview?
Samahan jaman hv kwa wale waliofanya interview TCC tar 22 na 23 kuna walioitwa? na wale waliofanya mwezi wa saba vip kuna walioitwa fo further interview?
new generation JF-Expert Member Joined Mar 14, 2012 Posts 815 Reaction score 1,725 Sep 3, 2013 #2 Sijajua kaka, hata mimi nilifanya, but bado sijaitwa, walisema watapiga simu kati ya wiki mbili, mpaka tatu.
Sijajua kaka, hata mimi nilifanya, but bado sijaitwa, walisema watapiga simu kati ya wiki mbili, mpaka tatu.
F Flores Member Joined May 19, 2013 Posts 39 Reaction score 3 Sep 3, 2013 Thread starter #3 new generation said: Sijajua kaka, hata mimi nilifanya, but bado sijaitwa, walisema watapiga simu kati ya wiki mbili, mpaka tatu. Click to expand... hiv wale waliofanya mara ya kwanza nao bado au tayari mana me nakumbuka mwezi wa saba pia kuna watu walifanya interview na TCC
new generation said: Sijajua kaka, hata mimi nilifanya, but bado sijaitwa, walisema watapiga simu kati ya wiki mbili, mpaka tatu. Click to expand... hiv wale waliofanya mara ya kwanza nao bado au tayari mana me nakumbuka mwezi wa saba pia kuna watu walifanya interview na TCC