Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,554
- 21,051
Aisee kazi kweli kweliNi kuzidiana mbinu tuu dunia hii si ya mjomba kwamba upate ukuu kirahisi rahisi tuu.
Cha kufanya next time waboreshe mbinu zote no matter what? Ila wakitilia huruma mambo yatakua ivyo ivyo miaka nenda rudi.
Hiyo kuboresha mbinu si ndio watu wanakuja kujiliza kuwa amani ya nchi inaharibiwa?Ni kuzidiana mbinu tuu dunia hii si ya mjomba kwamba upate ukuu kirahisi rahisi tuu.
Cha kufanya next time waboreshe mbinu zote no matter what? Ila wakitilia huruma mambo yatakua ivyo ivyo miaka nenda rudi.
Hapana sio mfumo wa fujo ni akili inatumika.Hiyo kuboresha mbinu si ndio watu wanakuja kujiliza kuwa amani ya nchi inaharibiwa?
Inaonekana uko kwenye ulimwengu wa nadharia. Kinachofanyika ni matokeo kutangazwa kinyume na kilichopo kwenye box la kura. Tunaona mabox ya kura yanaletwa kwa uratibu wa vyombo vya dola, na msimamizi wa uchaguzi Yuko kimya.Hapana sio mfumo wa fujo ni akili inatumika.
Kiuhalisia lazima wanachunguliana ( kila mtu anajua siri za mwenzie za ndani).
Mmeshanyetishiwa kuna ma IT wako mzigoni kina washinda nini wao pia kua na ma IT wa hali ya juu kulinda hujuma zozote zitakazo jitokeza tena kwa wakati.
Jikite kwenye uzi mkuu.....jina tundu lisu halikua likienda ukituma kwa mfumo wa sms( mitandao) ambao wahusika wakuu n ma IT.Inaonekana uko kwenye ulimwengu wa nadharia. Kinachofanyika ni matokeo kutangazwa kinyume na kilichopo kwenye box la kura. Tunaona mabox ya kura yanaletwa kwa uratibu wa vyombo vya dola, na msimamizi wa uchaguzi Yuko kimya. Wapinzani wanatekwa wasirudishe form za kugombea ili mgombea wa ccm apite bila kupingwa. Mawakala wanazuiwa kuingia kwenye vituo na hakuna chocote kinatokea. Sasa we unaongelea mambo ya IT kama huo wizi ni kupitia mitandaoni.
Nyimbo tu moja ya Wanatuona nyani imezua kitimu timuHiyo kuboresha mbinu si ndio watu wanakuja kujiliza kuwa amani ya nchi inaharibiwa?
Ila Magu na genge lake khaa!! Hata mshipa wa aibu hakuna.Inaonekana uko kwenye ulimwengu wa nadharia. Kinachofanyika ni matokeo kutangazwa kinyume na kilichopo kwenye box la kura. Tunaona mabox ya kura yanaletwa kwa uratibu wa vyombo vya dola, na msimamizi wa uchaguzi Yuko kimya. Wapinzani wanatekwa wasirudishe form za kugombea ili mgombea wa ccm apite bila kupingwa. Mawakala wanazuiwa kuingia kwenye vituo na hakuna chocote kinatokea. Sasa we unaongelea mambo ya IT kama huo wizi ni kupitia mitandaoni.
Tunaalikwa na Injili ktk Biblia kuwa mambo ya dunia ni mambo ya kupita tu. Tusiwekeze sana tukasahau Maisha yetu ya Kiroho ambayo ndio lengo hasa la kuubwa kwetuWakazima na Data Mzee, leo wamelala hawana tena pumzi, wameliwa na funza!
Tutendeane kwa haki ndugu zangu.