TBS usaili

TBS usaili

deezekiels

Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
42
Reaction score
3
Habari zenu jamani, niliomba nafasi 3 za Kazi tbs, zote nimeitwa na zote usaili ni tarehe 31/07/2014 saa 8:30 - 10:00, msaada wenu wadau kuhusu hii issue..
 
Kapige zote kama zinatofautiana mda kumbuka kuanza na ile ambayo una wito nayo. ASANTE
 
Dah mi nimeitwa lkn majukum niliyonayo sielewi hata nachomokaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom