Mbona kizamani sana kaka, kwani mshahara si una negotiate na mwajiri wako, kama umeitwa nenda ndipo utakapoujua hapa unaweza kupata hata majibu manne tofauti utajua la ukweli ni lipi, bado wale waliovurugwa hawajaiona thread yako wakiiona watakunya uharo mpaka utajuta ku post!!
Regards,
Mwana Mwema!!