TBS na rushwa ya ngono

TBS na rushwa ya ngono

APICHO MKWELI

Member
Joined
Nov 3, 2014
Posts
9
Reaction score
1
Hivi karibuni shirika la viwango lilitangaza usaili kwa nafasi za kazi mbalimbali watu tuliitwa wengi kuliko ya kawaida ,mtihani wa maandishi uliisha, lakini uchaguzi(short list) haukufuata ufaulu,bali kwa upendeleo wa kindugu,rushwa na rushwa ya ngono. Hata walioitwa kwa usaili wa pili(oral) watu wao walipewa majibu ya mtihani live siku ya usaili(interview) jambo hili lina umiza na kukandamiza wenye haki.

Kwanini mkurugenzi apewe rushwa ya ngono ndipo apitishe mtu katika taasisi ya umma?

Vyombo husika vifuatile
mkweli
 
Kama ni kweli hili mkuu, basi imefika muda sasa panel za interview ziwe zinawanawake wote ili wawe wanatuomba na sisi wanaume rushwa za ngono ili tuwatorong'oe!
 
Kuna mkurugenzi hapo aliyepita ana kesi mahakamani huyo aliyopo haogopi?
 
Hiyo cha mtoto,
hawa jamaa wameweka mawakala wawafanyie kazi ya kuwakagulia bidhaa nje ya nchi kifisadi pia
unapoleta bidhaa kama spare za magari bila ukaguzi wanakupiga faini kubwa ajabu,huku mlolongo wa kuilipa hiyo
faini mpaka utoe rushwa kwa mkurugenzi ndipo uingize ,sasa mimi najiuliza kulipa faini kunaifanya spare
iwe na ubora?
 
Eti wanadai hawana vifaa vya kupima spare za magari lakini
hivi karibuni wamenunua magari ya Kifisadi ili wapate ten %
tazama hii picha ya gari .gari la mkugenzi nizuri lakini
amelikataa amenunua la 300,000,000/=
 

Attachments

  • ufisadi.png
    ufisadi.png
    64.5 KB · Views: 524
Tazama gari hili hapa chini alilokataa mkurugenzi wa TBS
 

Attachments

  • ufahari.png
    ufahari.png
    70.2 KB · Views: 484
masikini wengi akili yao ufikiria "uchi" muda mwingi!!!!
 
Eti wanadai hawana vifaa vya kupima spare za magari lakini
hivi karibuni wamenunua magari ya Kifisadi ili wapate ten %
tazama hii picha ya gari .gari la mkugenzi nizuri lakini
amelikataa amenunua la 300,000,000/=

Nissan 2013_2014 bei ya cfao motors ni $120,000 full paid kma 200m tsh siyo 300m
 
Kusema kweli watoto wa wakulima ajira tutazisikilizia hewani tu. Hakuna haki kabisa kwenye interview siku hizi.
 
Kusema kweli watoto wa wakulima ajira tutazisikilizia hewani tu. Hakuna haki kabisa kwenye interview siku hizi.

Watoto wa wanasiasa wanarithi nafasi za wazazi wao hali kadhalika ofisi za uma mwendo ni uleule. Sasa kama wewe ni mtoto wa mfugaji au mkulima kazi ipo.
 
Back
Top Bottom