soweto85
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 301
- 247
Yaani niko moto ni vibaya, nimenunua nyembe ka dozen kazima. Kuanzia saa mbili mpaka saa hizi nahangaika na wembe tuu, yaani kidevu kinawaka moto, kwapa linawaka moto, na huku kunako pia moto.
Yote hii ni kupenda tu bidhaa ya nchi yetu, uzalendo. Hivi kweli TBS mnafuatilia hizi bidhaa ? Hamjiulizi kwanini watanzania wanazipiga madongo bidhaa zinazotengenezwa na viwanda vyetu? Kwanini mnaacha nembo yenu itumike kwenye bidhaa duni? Dah !!
Kilichoniudhi zaidi nimepata mchepuko mpya nimeshindwa kuutendea haki kila sehemu nywele vifungu vifungu, na dozen yote imeisha. Nimetoa udhuru nimechelewa ofisini wakati leo Mei Mosi na nilishamrushia hela ya taxi.
Haya bwana nyie wajanja! Yaani nimepishana nayo hivi hivi. Duuuh !!!