TBL mmetutesa sana

Hahahaaa kona ya Walevi

Ila ndyo Walipa kodi nambari wani
 
siku hizi naenjoy sana mkuu nikiwa 15000 tu..inatosha kabisa..
 
Waambie wakurudishie che ji zako mkuu
 
Kama kuna uwezekano wa bia kuuzwa TZS 1500 Je kwanini muda wote mmekuwa mkituuzia kwa 2500?
Sisi huku magufuli katuondolea zile za bei chee sasa itabidi tuwe tunakunywa gongo hakuna namna
 
Balimi extra lager
Tumkaribishe mgeni wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…