Hapo inaonyesha jinsi gani ulivyo kiazi yaan dogo wa 9yrs ameona kasoro ila wewe kubwa jinga hujaona kasoro yoyote zaidi ya kuunga mkono juhudi za muheshimiwa
Sikufanikiwa kugundua sababu baada ya mechi sikuwa bize tena na TV nilikuwa nachati kwenye simu wakati huo tumebadilisha channel na kuwa TBC ndio dogo ananiambia hivyo japo hilo nilishalibaini kitambo sana maana si tatizo la leo au jana
Jaman msiponde sana chombo chetu cha utangazaji cha taifa maana ndiyo icho icho tuna chojivunia nakuwanacho nichataifa chakwetu so tutoe maoni nn kifanyike na nn kiongezwe au kipi kipunguzwe