TBC1 LIVE: Wazanzibar WANAPENDA MUUNGANO.

TBC1 LIVE: Wazanzibar WANAPENDA MUUNGANO.

dafity

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2008
Posts
1,878
Reaction score
2,085
Inaonyeshwa LIVE kutoka Zanzibar, wamejitokeza kwa wingi katika sherehe za "UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO"

Kumbe yale maneno maneno ETI OOOH Wazanzibar hawapendi Muungano SIO KWELI!
 
Ukiangalia bunge maalumu utagundua kuwa hatuna muungano ila upo wa kisanii tu kwa masilahi ya each ache na familia zao.
 
Wazanzibari wengi bila ya kujali itikadi za vyama vyoa hawaungi mkono swala la muungano, muungano uliopo ni jitihada za viongozi wa ngazi za juu hususan chama!!!
 
Nijuavyo Mushi ni Mtanzania.
Upo sahihi kwamba Wazanzibar ni waumini wa Muungano, ila uwe wa hakki na usawa baina pande zote sio dudu hili tulokuwa nalo, lakini pia usitizame TV kisha eti ikawa ndio reference yako, huo ni ufinyu wa mawazo kwani ukumbi wa bwawani hauzidi watu 5000, na Wazanzibar wapo zaidi ya million 1.5, sasa huo utakuwa ni wendawazimu kulinganisha watu 5000 na mil 1.5....
 
Back
Top Bottom