Si chombo cha Muungano...Zanzibar ni nchi ina TVZ na vyombo vyake wala sio koloni la Tanganyika na wala haiko chini ya Tanzania bara........Nadhani kina tume ya Katiba na wengineo wataniunga mkono...
Wadau,nimekua nikifuatilia utendaji wa shirika letu linalofanya kazi kwa kodi zetu la TBC1 kwa muda mrefu sasa,leo baada ya kutokea tukio la kuzama meli ndipo nimeamini kuwa TBC1 hawana mwelekeo kwani badala ya kutoa updates za tukio hilo wao walikua wakionyesha kipindi cha bango,hili linaendana na kipindi cha nyuma ambapo ilipotolea ajali ya meli kwenye mkondo wa nungwi ambapo kama kawaida yao walikuwa wanaonyesha taarabu badala ya kutoa updates za tukio,haya ni baadhi tu ya madudu yao ukiachilia mbali kutokuonyesha habari zozote zinolenga mirengo ya kuikosoa serikali..inshort iam casting a vote of no confidence to TBC1!
Inonekana wewe mtu wa kuangalia vipindi vya katuni tu. TBC1 wanatoa updates kila wakati mhtasari wa taarifa zao, hufuatilii au uko ki-majungu zaidi, haisaidii hiyo.
Si chombo cha Muungano...Zanzibar ni nchi ina TVZ na vyombo vyake wala sio koloni la Tanganyika na wala haiko chini ya Tanzania bara........Nadhani kina tume ya Katiba na wengineo wataniunga mkono...
Si chombo cha Muungano...Zanzibar ni nchi ina TVZ na vyombo vyake wala sio koloni la Tanganyika na wala haiko chini ya Tanzania bara........Nadhani kina tume ya Katiba na wengineo wataniunga mkono...
Yaani wewe nawe ndo zumbukuku kweli, jana BBC walikua wanatoa updates za ajali ya hiyo meli. Hivi BBC ni chombo cha Muungano? Mambo mengine badala ya kuchagua kutetea inabidi ujiulize mara mbili.
Naunga mkono hoja asilimia mia moja, TBC kwisha kazi wamepwaya, wamechoka, uongozi umezeeka na wanaboa ile mbaya. Tatizo kubwa linaloikumba nchi yetu ni kua na viongozi wa aina moja ndo mana kila kitu hakiendi sawa. Kwa kweli hatuna redio, polisi, jeshi, magereza, na usalama wa taifa ndo sifuri kabisa.
kumbuka kuna watanganyika waliokua wanaenda z'bar na sa wazawa wa z'bar.
Unataka kusema hiyo ni sababau tosha kwa TBC kutofanya updates? Waathirika wa ajali ni watanzania, kama ni wazenji au wabara haimaanishi shirika la habari la serikali ya Muungani lisitangaze habari za ajali. Je, unajua idadi ya wafu kutoka pande mbili za muungano?