Wadau,nimekua nikifuatilia utendaji wa shirika letu linalofanya kazi kwa kodi zetu la TBC1 kwa muda mrefu sasa,leo baada ya kutokea tukio la kuzama meli ndipo nimeamini kuwa TBC1 hawana mwelekeo kwani badala ya kutoa updates za tukio hilo wao walikua wakionyesha kipindi cha bango,hili linaendana na kipindi cha nyuma ambapo ilipotolea ajali ya meli kwenye mkondo wa nungwi ambapo kama kawaida yao walikuwa wanaonyesha taarabu badala ya kutoa updates za tukio,haya ni baadhi tu ya madudu yao ukiachilia mbali kutokuonyesha habari zozote zinolenga mirengo ya kuikosoa serikali..inshort iam casting a vote of no confidence to TBC1!
Inonekana wewe mtu wa kuangalia vipindi vya katuni tu. TBC1 wanatoa updates kila wakati mhtasari wa taarifa zao, hufuatilii au uko ki-majungu zaidi, haisaidii hiyo.Wadau,nimekua nikifuatilia utendaji wa shirika letu linalofanya kazi kwa kodi zetu la TBC1 kwa muda mrefu sasa,leo baada ya kutokea tukio la kuzama meli ndipo nimeamini kuwa TBC1 hawana mwelekeo kwani badala ya kutoa updates za tukio hilo wao walikua wakionyesha kipindi cha bango,hili linaendana na kipindi cha nyuma ambapo ilipotolea ajali ya meli kwenye mkondo wa nungwi ambapo kama kawaida yao walikuwa wanaonyesha taarabu badala ya kutoa updates za tukio,haya ni baadhi tu ya madudu yao ukiachilia mbali kutokuonyesha habari zozote zinolenga mirengo ya kuikosoa serikali..inshort iam casting a vote of no confidence to TBC1!
Yaani hawa manunda kweli, mi nilitegemea breaking news watuonyeshe vitu live, lkn kweli matokeo yake ndio wanaonyesha bango, mara taarabu. balaa.
Si chombo cha Muungano...Zanzibar ni nchi ina TVZ na vyombo vyake wala sio koloni la Tanganyika na wala haiko chini ya Tanzania bara........Nadhani kina tume ya Katiba na wengineo wataniunga mkono...
Si chombo cha Muungano...Zanzibar ni nchi ina TVZ na vyombo vyake wala sio koloni la Tanganyika na wala haiko chini ya Tanzania bara........Nadhani kina tume ya Katiba na wengineo wataniunga mkono...
wakati jana tbc mida ya jioni wakiwa wanahunya hunya na mpaka usiku wakiendelea kuhunya hunya usku wenzako tulikuwa tunapata taarifa mbichi na safi toka tvz.kama uliangalia utakubaliana namimi lakini kwa tbc kilichooza kimeoza kaka huwezi kukipendezesha.hata hivyo tz kila kitu hakiko sawa.Siyo TBC1 wanaoingia majini kuokoa , so hawawezi kukupa kitu Live. Updates zinategemea kasi ya uokoaji ikiambatana na taarifa za pamoja , tusiwe wachovu wa kujua mambo yanavyokwenda kiasi hicho, mwisho wake wewe unayelalama utaonekana nunda zaidi. Masuala ya uokoaji ni ya kitaalama zaidi na update za taarifa zake zinahitaji umakini sana ili kuepuka kutoa taarifa za ki-kubenea kubenea (za kusikia mitaani na kishabiki)
Yaani sio vyombo vya habari tu Tanzania haina kila kitu, Polisi, Mahakama, Hospital hata Utawala hatuna tunaishi kwa kudra za mwenyezi Mungu.!