Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
unamaanisha tuanze kuwafanyi watangazi wa TBC kile tulicho wafanyia jangwani?Leo(23/09/2010) katika taarifa ya habari ya saa 2 kamili wamezidi kuonesha kupendelea upande mmoja kwa kuonesha taarifa za CCM NA CCMB(CUF) kwa kina
Reporter we CCM wanareport na sera za chama leo Kikwete kaoneshwa kwa dakika 3;23:01
pia wanaonesha umati uliokuja kumsikiliza( HII NI NJIA YA KUWARAGHAI WATANZANIA KUWA KIKWETE ANAKUBALIKA)
CUF wameonesha kwa dakika 2;01;54 pia wameonesha sera zao
DR Slaa hapa reporter kaonesha bulaa bulaa DR KAONESHWA KIWILIWILI TU NA WACHENZA NGOMA (HII NI NJIA YA MAJASUSI WA TBC KURAGHAI WATANZANIA KUWA SLAA HAKUBALIKI
Mytake
Muda wa kulalamika umeisha TBC WATAVUNA WANACHOPANDA
pale jangwani kwani nilikuwa mwenyewe??????????huu ni mtazamo wako...na ninahuheshimu mtazamo wako but siyo mtazamo wa watanzania.
MAGUGU HAYANA NAFAKA MKUU WANGU.Leo(23/09/2010) katika taarifa ya habari ya saa 2 kamili wamezidi kuonesha kupendelea upande mmoja kwa kuonesha taarifa za CCM NA CCMB(CUF) kwa kina
Reporter we CCM wanareport na sera za chama leo Kikwete kaoneshwa kwa dakika 3;23:01
pia wanaonesha umati uliokuja kumsikiliza( HII NI NJIA YA KUWARAGHAI WATANZANIA KUWA KIKWETE ANAKUBALIKA)
CUF wameonesha kwa dakika 2;01;54 pia wameonesha sera zao
DR Slaa hapa reporter kaonesha bulaa bulaa DR KAONESHWA KIWILIWILI TU NA WACHENZA NGOMA (HII NI NJIA YA MAJASUSI WA TBC KURAGHAI WATANZANIA KUWA SLAA HAKUBALIKI
Mytake
Muda wa kulalamika umeisha TBC WATAVUNA WANACHOPANDA
Mkuu unapokuwa una nongwa kama za mjamzito ujuwe wa kumnunia (mumeo aliyekutia hiyo mimba) usimnunie kila mtu, CUF SIYO CCM B, wala hakuna chama kama hicho.QUOTE=King of Kings;1100611]Leo(23/09/2010) katika taarifa ya habari ya saa 2 kamili wamezidi kuonesha kupendelea upande mmoja kwa kuonesha taarifa za CCM NA CCMB(CUF) kwa kina
...basi kitakuwa CCM c,[
Mkuu unapokuwa una nongwa kama za mjamzito ujuwe wa kumnunia (mumeo aliyekutia hiyo mimba) usimnunie kila mtu, CUF SIYO CCM B, wala hakuna chama kama hicho.
...basi kitakuwa CCM c,
KUna mpango mahususi umepangwa ukapangika lakini wakasahau kuwa time was too late
[
Mkuu unapokuwa una nongwa kama za mjamzito ujuwe wa kumnunia (mumeo aliyekutia hiyo mimba) usimnunie kila mtu, CUF SIYO CCM B, wala hakuna chama kama hicho.
Hahahahahahahah nakucheka kwasababu kilamtu amepewa Uhuru wa kufanya kampaign kwa njia Yeyote ile,, ikiwa kuomba Vyombo vya habari kuwatangaza ilikupata kura,,
Hii haikatwazwi hata kwa wewe nenda kawashauri wanachama wako (Viongozi wa chama chako kufanya hivyo) lakini simaanishi CCM na CUF wamehonga huu ni Mtazamo wangu kwakuwa hata ukitaka kutangaza kitu unalipia kituo cha TV na wanakutangazia Nendeni mkajaribu hata na hii pia..
huu ni mtazamo wako...na ninahuheshimu mtazamo wako but siyo mtazamo wa watanzania.