Tbc wanaonyesha nini sasa?

Tbc wanaonyesha nini sasa?

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
861
Reaction score
159
Jamani hebu wekeni tbc sasa 22:45 naona nyimbo kibaoo za uhuru.why?si walisema hawana hela?
 
Mimi sielewi naona upuuzi je ni live au maana mc anaongea as if is live events!!stupido kweli!!
 
mimi sielewi naona upuuzi je ni live au maana mc anaongea as if is live events!!stupido kweli!!

hata haieleweki kama ni live ama recorded!wananiudh sana.na huku imebakia inashika hiyo hiyo tbc.
 
Serikali yenyewe imeshafilisika ngoma waje watimuliwe wote halafu wafe njaa, wajinga sana hawa.
 
Back
Top Bottom