Tbc wametangaza Habari za Chadema kwa mara ya kwanza

Sasa walidhani watapata biashara kwa kuacha kutangaza matamko ya CDM ambazo ndiyo watu wanafuatilia zaidi. TBC SI NI YA TAIFA AMA NI YA CHAMA FULANI?
 
Bawacha huwa wote ni wagonjwa wa vichwa.... huwa hamuangalii Tbc halafu leo ndio mnasema kwa mara ya kwanza kutangaza habari za chadema ...mimi kila leo huwa naona habari zao kila leo...
 
Kwani mgogoro uliotangazwa na mboe kati ya tbc na chadema ulishaisha
 
Bawacha huwa wote ni wagonjwa wa vichwa.... huwa hamuangalii Tbc halafu leo ndio mnasema kwa mara ya kwanza kutangaza habari za chadema ...mimi kila leo huwa naona habari zao kila leo...

Huwa wanatangaza zile mbaya kama kwasasa magazeti wanavyomtaja makonda lakini kwa mabaya tu
 
Back
Top Bottom