Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,709
- 1,735
TBC wana msemo wa Ukweli na Uhakika na hivi karibuni Azam Tv walipewa kibali cha kuonesha mechi za soka za ligi yetu, lakini kwa sababu wanazozifahamu wao Azam wameingia makubaliano na TBC kuonesha mechi hizo. Kinachonishangaza ni kuwa kwenye 'screen' TBC wameamua lebo yao kuikandamiza lebo ya Azam Tv, hivi hii ni sahihi? Kama wangekuwa wanachota toka SS ya DSTV wangefanya hivo?