Tbc vp?

Tbc vp?

Kwayu

Platinum Member
Joined
Nov 8, 2007
Posts
511
Reaction score
108
Kikao cha bunge tayari kishaanza, ila cha kushangaza mpaka sasa hivi TBC hawajaanza kuonyesha yanayojiri huko.Je, kuna ajenda wanayotaka kuificha wananchi wasiijue au tatizo ni nini hasa? coz tuna kiu ya kujua yanayoendelea mjengoni
 
nafikiri kikao kinaanza saa nane mchana,..lakini hawa mafisadi wanaweza kugoma kurusha hewani si unajua moto wa cdm
 
siku hizi hata matangazo yao yanakatikakatika
 
Imekuwa confirmed kuwa kikao kitaanza mchana?
nafikiri kikao kinaanza saa nane mchana,..lakini hawa mafisadi wanaweza kugoma kurusha hewani si unajua moto wa cdm
 
Akumbukwe Tido Mhando - huyo muhaya wa sasa hakuna kitu
 
TBC tayari wako hewani dodoma mjengoni
 
Je, kuna ajenda wanayotaka kuificha wananchi wasiijue au tatizo ni nini hasa?

Yani kila kitu tunakuwa na wasiwasi kweli hii nchi imefika pabaya...Tatizo ni la mitambo beyond human control
 
Unapong'atwa na siafu au kuwaona mara jani likikugusa lazima mwili usisimke.
Yani kila kitu tunakuwa na wasiwasi kweli hii nchi imefika pabaya...Tatizo ni la mitambo beyond human control
 
TBC tayari wako hewani dodoma mjengoni

Wakuu hebu tusaidieni na sisi wengine. Hivi hakuna link yoyote inayorusha matangazo ya TBC1 au Star Tv?. Hawa Tv4 Africa wana channels za ITV na EATV tu...channel yao ya TBC1 inarusha matangazo ya TV Mozambique.

Please mwenye link hata ya redio tu ili nasi tufuatilie mijadala ya bunge.
 
hivi tido mhando "amefia" wapi? tanzania hii, wamemtoa majuu sasa wamemtupa eti hakuwapendelea, hukumu ya kweli anayo Mungu
 
TBC watakata matanagazo pale wabunge makini wa Chadema watakapo washa moto na kuwaacha wabunge majambzi ya sisiem midomo wazi:roll:
 
Yani kila kitu tunakuwa na wasiwasi kweli hii nchi imefika pabaya...Tatizo ni la mitambo beyond human control

mbona mitambo haikukatika jk alipokuwa anatema pumba zake dom majuzi
 
Bunge la awamu hii ni noma, vikao vingi sana tutakuwa hatuvioni. Labda tuanzishe TV yetu....TV JF
 
Back
Top Bottom