Mo-TOWN JF-Expert Member Joined Oct 11, 2010 Posts 1,721 Reaction score 515 Jul 22, 2011 #1 Matangazo ya Bunge yanaendelea zaidi ya dk 30 bila sauti - Arusha. Hii ni nini sasa incompetence au?
VoiceOfReason JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,194 Reaction score 1,375 Jul 22, 2011 #2 kwa Tanzania ni jambo la kawaida
Tanganyika1 JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 423 Reaction score 90 Jul 22, 2011 #3 labda walichokua wanajadili kwa muda huo hamkutakiwa kusikia watanzania. c unajua hata kwenye nyimbo hv kama kuna matusi au... Huwa wana mute.
labda walichokua wanajadili kwa muda huo hamkutakiwa kusikia watanzania. c unajua hata kwenye nyimbo hv kama kuna matusi au... Huwa wana mute.
Egwugu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,558 Reaction score 8,551 Jul 22, 2011 #4 bora nyinyi huko mna ngeleja product!
mtoto wa mfugaj Senior Member Joined Jul 18, 2011 Posts 136 Reaction score 29 Jul 22, 2011 #5 naona toka tido muhando asepe,tbc wanayumba sana katika maswala mengi ikiwemo na production(mwanga,sauti,ubora wapicha n.k)
naona toka tido muhando asepe,tbc wanayumba sana katika maswala mengi ikiwemo na production(mwanga,sauti,ubora wapicha n.k)
J JUNGU MTU Member Joined Jul 10, 2011 Posts 20 Reaction score 1 Jul 22, 2011 #6 Kwa bongo hiyo ni michezo ya kawaida sana na pia hata hao watangazaji wa tbc sametime niwazushi tuuu c kiaani kwetu hatuwakubili ki ivyo sana man?
Kwa bongo hiyo ni michezo ya kawaida sana na pia hata hao watangazaji wa tbc sametime niwazushi tuuu c kiaani kwetu hatuwakubili ki ivyo sana man?
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,343 Reaction score 33,487 Jul 22, 2011 #7 bana tbc mnaniboa na russia today haina habari jaribuni japo bbc,aljazira,skynews wakati wa usku wa manane RT suck
bana tbc mnaniboa na russia today haina habari jaribuni japo bbc,aljazira,skynews wakati wa usku wa manane RT suck
S sanjo JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 943 Reaction score 271 Jul 22, 2011 #8 JUNGU MTU said: Kwa bongo hiyo ni michezo ya kawaida sana na pia hata hao watangazaji wa tbc sametime niwazushi tuuu c kiaani kwetu hatuwakubili ki ivyo sana man? Click to expand... Ndiyo shida ya kila kitu kinapokuwa kinaendeshwa kisiasa.
JUNGU MTU said: Kwa bongo hiyo ni michezo ya kawaida sana na pia hata hao watangazaji wa tbc sametime niwazushi tuuu c kiaani kwetu hatuwakubili ki ivyo sana man? Click to expand... Ndiyo shida ya kila kitu kinapokuwa kinaendeshwa kisiasa.
wiseboy JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,930 Reaction score 3,310 Jul 22, 2011 #9 kati ya wa2 ninao wazimia Tido yumo, hv kaenda wp toka tbc?
P Peter bedson Member Joined Jun 2, 2011 Posts 32 Reaction score 5 Jul 22, 2011 #10 wiseboy said: kati ya wa2 ninao wazimia Tido yumo, hv kaenda wp toka tbc? Click to expand... tido yupo kenya kachukuliwa na aljazira-swahili sisi hatujui thamani yake
wiseboy said: kati ya wa2 ninao wazimia Tido yumo, hv kaenda wp toka tbc? Click to expand... tido yupo kenya kachukuliwa na aljazira-swahili sisi hatujui thamani yake