M MAO JF-Expert Member Joined Dec 23, 2008 Posts 262 Reaction score 131 May 4, 2018 #1 TBC wana matangazo mengine badala ya kurusha Bunge live. Kuna shida gani?
stickvibration JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 3,223 Reaction score 5,150 May 4, 2018 #2 Tangu lini wakaonesha LIVE[emoji1321]
VAPS JF-Expert Member Joined Jul 10, 2012 Posts 5,611 Reaction score 13,176 May 4, 2018 #3 Awamu hii media bora,mteule lazima ktk hotuba,taarifa amtaje kumtukuza MTU mmoja.Tunafanya dhambi kubwa kumwabudu binadamu mwenzetu.
Awamu hii media bora,mteule lazima ktk hotuba,taarifa amtaje kumtukuza MTU mmoja.Tunafanya dhambi kubwa kumwabudu binadamu mwenzetu.
Jurrasic Park JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 3,833 Reaction score 6,889 May 4, 2018 #4 Ata kwenye redio silisikii