inaniuma sana pindi kodi zetu sisi watanzania tusiokuwa na chama inavyotumika kwa manufaa ya chama kimoja oma chama kingine.ni vizuri viongozi wachache tuliowapa dhamana ya kusimamia nchi yetu wakajipanga ili kuendeleza inchi yetu biila kufuata mrengo wa chama chochote.ni vyema taasisi za nchi zisijihusishe na biashara au zisitumike kwa manufaa ya watu wengine.