ITV wameonyesha mkuu, labda ukiwa unamaanisha mchana kama breaking news
Jamani nimeangalia televisheni yetu hii ya serikali, kwani inachukua ruzuku kutoka serikalini, fedha ya kila mwananchi mlipa kodi. Cha kushangaza! Habari iliyovuta watu wengi, umma kwa ujumla ya kutekwa kwa dr. Na kukutwa mahututi katika msitu wa magwe pande. Haikuwa ni issue. Hivi wanahabari na umma kwa ujumla mnalionaje hili? Wangeitoa tuu kwani kwani ingekuwaje..............basi tu.
Hakuna taarifa yoyote kuhusu taarifa za uharamia aliofanyiwa dr. Ulimboka, hii inamaanisha nini wadau? nafikiri ni majibu tosha kuwa hii serikali dhaifu na ya kidhalimu inahusika moja kwa moja, Mungu mbariki dr. apone.
habari muhimu ni kumuonyesha pinda akitema pumba bungeni, yana mwisho!?.
na wenye wagonjwa hospitalini na kukosa tiba wanamachungu zaidi,wewe unasubiri mwenzako kupata nafuu,wakati wenzako wanasubiri mda wa mgonjwa wao kufa!,uko wapi ubinaadamu hapo?!!,kisa mgomo wenuWatu mnamachungu sana wacheni Dr apate nafuu kila kitu kitajulikana tu!