TBC sijui nani kawaroga

TBC sijui nani kawaroga

MKEHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
716
Reaction score
1,144
Pamoja na kwamba sisi wenye decoder za Azam hatuna option ya kuangalia taarifa ya habari kupitia shirika letu la utangazaji la TBC lakini bado wanafanya makosa makubwa.
Leo nikiwa nimejiandaa kuangalia habari ya saa mbili usiku naona picha tu sauti haitoki.
Kulikuwa na habari muhimu sana juu ya ugonjwa wa Dengue lakini nimeishia kuwaona tu waziri wa Afya na naibu wake. Bora hata kungekuwa na msoma taarifa kwa alama pengine tungeambulia kitu kwa tuliosoma lugha za alama lakini wapi.
Waziri mkuu nae Kasim Majaliwa nimemwona lakini sijui kaongea nini.
Kuna haja ya kuipitia upya mitambo ya TBC.
 
Ni chombo cha taifa ila kimesahaulika sana lazima kwenda na wakati ila siku kadhaa niliona wawekezaji toka korea kusini kuja kufanya mazungumzo na tbc soon tutegemee tbc mpya
 
Kuna tatizo kwenye king'amuzi chako mkuu,,,, Mimi sijaona hiyo mushkeri.
 
Pamoja na kwamba sisi wenye decoder za Azam hatuna option ya kuangalia taarifa ya habari kupitia shirika letu la utangazaji la TBC lakini bado wanafanya makosa makubwa.
Leo nikiwa nimejiandaa kuangalia habari ya saa mbili usiku naona picha tu sauti haitoki.
Kulikuwa na habari muhimu sana juu ya ugonjwa wa Dengue lakini nimeishia kuwaona tu waziri wa Afya na naibu wake. Bora hata kungekuwa na msoma taarifa kwa alama pengine tungeambulia kitu kwa tuliosoma lugha za alama lakini wapi.
Waziri mkuu nae Kasim Majaliwa nimemwona lakini sijui kaongea nini.
Kuna haja ya kuipitia upya mitambo ya TBC.
Mkuu binafsi naona wewe ndo umerogwa. yaani hiyo TBC ina kipi cha zaidi au huna bando?
 
Kuna watu wanapata muda wa kuangalia TBC?
 
Funga dish kubwa mkuu na DVB decorder tafuta degee 72 itv wamehamia hapo utaziona na channels za kenya nk. Itv si ndio tv ya taifa ama kuna watu bado wanadhani tibisii
Ndio ya taifa? Tibisii oroginwl alisepa nayo Tido
 
Back
Top Bottom