Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 97
ing'aani e idsi homegir....!NALAMU SANAHabari kutoka kituo cha tv TBC nimeibamba hii usiku wa leo....
sijui ndiyo tuite maajabu/Miujiza ya yesu au mazingaombwe..Kyeruuu!...kijana ickson aliyefariki like kiezi kadhaa iliyopita,Leo emeonekana kijijini kwao mzima wa afya tele na amehojiwa na vyombo vyahabari na anasema kuwa amekuja duniani kumzika baba yake na ndiyo na yeye arudi huko alikokuwa.
Isn't it strange?....watu wameenda kwenye kaburi lake na wamekuta wala halijabomolewa na kuna mtu ametoa ushahidi kuwa gari la Nickson ndiyo lilibeba maiti ya baba yake....inshallah mungu tunusuru nadhani huuu ni mwisho wa dunia unakaribia...i think ile issue ya sodoma na gomora sasa ndiyo wakati wake...how come mtu amekufa alafu anarudi akiwa hai eti kaja kumzika dadiye!.....
Kuna watu wana moyo hata wa kumuhojimiye ningekimbia....(Marathon)
ing'aani e idsi homegir....!NALAMU SANA
....hahahaha!......hinu hingi isho........! maluwe luwe!
....hahahaha!
hommie avata uyiweenee?....utudaho tula lol!
hehehe!NDIIHOOOUUCHU UUNEE!.....😀😀........ ....mwana simvunge yula khaaaa!....nilishakomaaga naye on that, kawa mkali sana!
HEHEHE!Lwi ndauli ulukani 'ulo?😕
hehehe!
Yaani hommie...!
Utuwene utudakho tula tulimwe avata ya binti maringo...?
hahaha!mmh ngoja tuwaache kwanza mmbonge kinyumbani, mie namsubiri shosti wangu bm kwa maelezo zaidi ya hii sred yake. Ngoja aamke!!!!!!!!!
Binti Maringo,Habari kutoka kituo cha tv TBC nimeibamba hii usiku wa leo....
sijui ndiyo tuite maajabu/Miujiza ya yesu au mazingaombwe..Kyeruuu!...kijana ickson aliyefariki like kiezi kadhaa iliyopita,Leo emeonekana kijijini kwao mzima wa afya tele na amehojiwa na vyombo vyahabari na anasema kuwa amekuja duniani kumzika baba yake na ndiyo na yeye arudi huko alikokuwa.
Isn't it strange?....watu wameenda kwenye kaburi lake na wamekuta wala halijabomolewa na kuna mtu ametoa ushahidi kuwa gari la Nickson ndiyo lilibeba maiti ya baba yake....inshallah mungu tunusuru nadhani huuu ni mwisho wa dunia unakaribia...i think ile issue ya sodoma na gomora sasa ndiyo wakati wake...how come mtu amekufa alafu anarudi akiwa hai eti kaja kumzika dadiye!.....
Kuna watu wana moyo hata wa kumuhojimiye ningekimbia....(Marathon)
hahaha!
yule ni homegirl wangu kabisaaaaaa
HEHEHE!
yaani hommie...!
utuwene utudakho tula tulimwe avata ya binti maringo...?