TBC Ni Televisheni ya Taifa?


TBC ni busha la mkono wa sweta.
 
TL ya the great alitoa fasiri ya neno taifa na alitoa nukuu ya vifungu vya katiba. Mfano, kumkosoa rais au sirikali sio kulikosoa taifa. Hivyo, TBC sio chombo cha Taifa ni mali ya serika (kikundi) na CCM.
 

Nikikuta watoto wameweka Tibisi kichwa huanza kuuma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…