TBC ni janga la taifa

TBC ni janga la taifa

Huo walioko kwenye hiyo show sio wa TZ?

Maney talk, wamepewa pesa show hairushwi bure

Kipind mjukuu wa malkia anao vyombo vyote vya habar vilielekezwa kwenye ile familia, yalikua yanatuhusu? Mbona hukuuliza?

Ni kitu gan unataka wakurushie? Yan tokea January mpk leo hujaridhika? Lala

Hahaaaa umenichekesha mkuu umeongea ukweli saa saba hii alitaka taarifa zp tn,kilimo.bora cha viaz au mpunga?akalale huko
 
Hata fiesta ni jambo la kitaifa pia katika mambo ya burudani ,au leaders siku Hiz ipo Kenya?? Na wale maelfu ya mashabiki pale ni wazulu et??

Hujaelewa tu? Hao wakubwa wanataka kioneshwe wakipendacho wao!
Wakipendacho wengineo marufuku kwao wao!
 
chombo hiki cha umma kinaonyesha live miziki ya fiesta badala ya kuonyesha mambo mbalimbli ya kitaifa...imekuwa ni kawaida kwa chombo hiki cha umma kuonyesha mambo ya hovyo huku kikiyapa kisogo mambo muhimu ya kitaifa..kweli chombo hiki ni janga la taifa.

Burudani sio jambo la hovyo hovyo bana.
Isitoshe inachangia pato la taifa na inatoa ajira.
 
chombo hiki cha umma kinaonyesha live miziki ya fiesta badala ya kuonyesha mambo mbalimbli ya kitaifa...imekuwa ni kawaida kwa chombo hiki cha umma kuonyesha mambo ya hovyo huku kikiyapa kisogo mambo muhimu ya kitaifa..kweli chombo hiki ni janga la taifa.

Mi najua chombo cha umma ni ITV, STAR TV, CHANEL TEN, n.k ambavyo viko karibu na wananchi. Kumbe hata tbc ni chombo umma!!?
 
kwani hili taifa na tbc ni lenu peke enu wenye akili na kupenda mambo ya maana???!! hata sisi watu wa hovyohovyo tbc ni yetu pia kwahio acha watuonyeshe mambo yetu ya hovyohovyo
 
Ninawasiwasi na kiwango cha uelewa wako katika mambo ya kitaifa...inaonekana hujaenda shule kabisa

BBC ni tv ya taifa uingereza na inaoneka almost dunia nzima huwa wanaonyesha concerts nyingi tu kama party in the park au glastonbury festival ambazo hazina tofauti yoyote na fiesta....tena hizi za waingereza ndio balaa huko ni pombe,unga na ngono kwa kwenda mbele weekend nzima....hata tv za taifa zinatakiwa luonyesha burudani
 
Hata fiesta ni jambo la kitaifa pia katika mambo ya burudani ,au leaders siku Hiz ipo Kenya?? Na wale maelfu ya mashabiki pale ni wazulu et??

amekalili huyoo alitaka muda wote waonyeshe habari cjui,kamleta nani huyoo nchini kwetu hapa
 
Mi najua chombo cha umma ni ITV, STAR TV, CHANEL TEN, n.k ambavyo viko karibu na wananchi. Kumbe hata tbc ni chombo umma!!?

Chombo cha umma hakikaagi karibu na watu ndio maana rais wa umma hakaagi karibu na watu, ila mgombea ndio hujichanganya na raia, wongo..?!
 
Tena inapunguza stress, sio kila mara ukiwasha tv unaona 'kilimo cha mihogo Mbozi' utapoteza watazamaji, ohoo..!?

mkuu umenichekesha sana ulitaja kilimo cha mihogo mbozi .miaka ya 2001-2003 niliishi maeneo hayo nimefika kule,kalasha,tunduma,vwawa,kule secondary ya mbozi mission,hospitali ya wilaya,itakaa,mahenge,na hapa luanda.umenikumbusha kitambo mkuu
 
Wewe utakuwa umetokea kwenye vile vituo vya yule 'bare foot to riches'. And you cant stand to see TBC1 wins a nourish contract... Ha ha ha... Acha wazamini walipe bills watu wapate mishahara...
 
Huo walioko kwenye hiyo show sio wa TZ?

Maney talk, wamepewa pesa show hairushwi bure

Kipind mjukuu wa malkia anao vyombo vyote vya habar vilielekezwa kwenye ile familia, yalikua yanatuhusu? Mbona hukuuliza?

Ni kitu gan unataka wakurushie? Yan tokea January mpk leo hujaridhika? Lala

Alitaka mikutano ya Kinana na Nape. Fiesta Hoyeeeeee!!!
 
Back
Top Bottom