TBC ni janga la taifa

TBC ni janga la taifa

umla

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
1,166
Reaction score
558
chombo hiki cha umma kinaonyesha live miziki ya fiesta badala ya kuonyesha mambo mbalimbli ya kitaifa...imekuwa ni kawaida kwa chombo hiki cha umma kuonyesha mambo ya hovyo huku kikiyapa kisogo mambo muhimu ya kitaifa..kweli chombo hiki ni janga la taifa.
 
...ni hovyo sana hao walamba viatu,tumesha wachoka...
 
Huo walioko kwenye hiyo show sio wa TZ?

Maney talk, wamepewa pesa show hairushwi bure

Kipind mjukuu wa malkia anao vyombo vyote vya habar vilielekezwa kwenye ile familia, yalikua yanatuhusu? Mbona hukuuliza?

Ni kitu gan unataka wakurushie? Yan tokea January mpk leo hujaridhika? Lala
 
Ninawasiwasi na kiwango cha uelewa wako katika mambo ya kitaifa...inaonekana hujaenda shule kabisa
 
chombo hiki cha umma kinaonyesha live miziki ya fiesta badala ya kuonyesha mambo mbalimbli ya kitaifa...imekuwa ni kawaida kwa chombo hiki cha umma kuonyesha mambo ya hovyo huku kikiyapa kisogo mambo muhimu ya kitaifa..kweli chombo hiki ni janga la taifa.

Wee ndo janga la Taifa. Kwani TBC hawawekagi miziki katika vipindi vyao vya kawaida. Kazi kuponda tuuu. Kajenge Taifa sasa hivi na wewe uko bize kutafuta kasoro tu. Acha upumbuuu.
 
chombo hiki cha umma kinaonyesha live miziki ya fiesta badala ya kuonyesha mambo mbalimbli ya kitaifa...imekuwa ni kawaida kwa chombo hiki cha umma kuonyesha mambo ya hovyo huku kikiyapa kisogo mambo muhimu ya kitaifa..kweli chombo hiki ni janga la taifa.

Hata Baba Yako Akiwa Chizi Huwezi Kumkana KWANI Huyo Ndiyo Baba Yako Tu Utake Usitake Na Huna Mwingine.
 
tast tu picha, samahanini
 
Attachments

  • 1413665012520.jpg
    1413665012520.jpg
    70.2 KB · Views: 464
tbc basi tena, au ndiyo mipango ya kura ya ndio ya katiba pendekezwa, kupitia wasanii na sanaa hahahahahaha
 
bora muziki kuliko wangeweka habari za Nape na Ivory Kinana
 
Tbc na clous the same hawana vipindi maalum vyenye mvuto wao vipindi vyao wanacopy na kupaste ideas za vipindi kutoka Tv nyingine ndomaana wana shilikiana kurusha iyo fiesta kwakua wanajuana
 
tbc basi tena, au ndiyo mipango ya kura ya ndio ya katiba pendekezwa, kupitia wasanii na sanaa hahahahahaha

Wanataka kuteka vjana kupitia wasanii na ukichangia vjana ni asilimia sitini ya wote hapo wana fool watu kuna mambo mengi hawaonyeshagi toka lini taifa likaendelea kwa kutegemea wasanii only in Tanzania
 
Wee ndo janga la Taifa. Kwani TBC hawawekagi miziki katika vipindi vyao vya kawaida. Kazi kuponda tuuu. Kajenge Taifa sasa hivi na wewe uko bize kutafuta kasoro tu.
Majibu yako yanaonyesha hujielewi wala hujitambui...hii ndo shida ya kujibizana na vidada poa kama wewe.

Nimekuuliza TBC huwa hawarushi vipindi vya burudani??? ........! Badala ya kujibu, unaanza kujihami. Sasa Unashangaa nini kuona wanarusha Serengeti Fiesta 2014 tena jumamosi usiku saa tano?? Na ni kipindi gani cha kitaifa ambacho huonyeshwa tbc1 kuanzia saa nne usiku ambacho umekimiss?? Yaonyesha unatafuta tu cha kuposti maana TBC hauijui. Huwa wanarusha vipindi vya burudani ikiwemo miziki. Nafikiri mimi ndo nisijibishane na wewe usiye jua ulichopost. Tatizo kila kitu unaleta siasa na uchama. Ebu burudika kidogo, let ur balls loose angalau kwa masaa kadhaa, punguza kubana.
 
chombo hiki cha umma kinaonyesha live miziki ya fiesta badala ya kuonyesha mambo mbalimbli ya kitaifa...imekuwa ni kawaida kwa chombo hiki cha umma kuonyesha mambo ya hovyo huku kikiyapa kisogo mambo muhimu ya kitaifa..kweli chombo hiki ni janga la taifa.

Mimi ndio nina bahati mbaya sana na TBC. Ukiondoa kipindi cha bunge, sijawahi kubahatika kukuta kitu cha maana. Mara nyingi nakutana na watu wanakata viuno kabla hata midundo ya mziki haijasikika.
 
Back
Top Bottom