Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,457
- 699
Vipi wakuu, hali zenyu? Naomba kujua kama TBC na STAR TV wamebadili frequency au vipi?
Maana ni karibia miezi miwili sasa kwenye dish langu haipatikani.
Au wametolewa kwenye satellite?
Nasubiri jibu wadau, nipo online.
kama ilivyo pesa... Nguvu za channel huwa zina-fluctuate... Na nadhani nyoote hapo mnatumia nyungo za futi 6...chukueni futi nane hasa lile la nyavu...kitu signal ni kubwa kuliko na hazikatiki...frequence na symbol rate 6azijabdilika..ni zile zile
Ft8 nakubaliana na wewe kaka ila la bati ni bora zaidi kwa signal kliko la wavu kwa utafiti wangu mdogo niliofanya.
ya bati menigne feki, so kitu cha kutu hukikimbii, litaanza kutepeta katika mda mfupi..
ni afadhali niwe nalo hilo kuliko kuwa na la wavu. Hata hivyo madish yanayoitwa feki yako mengi zaidi mitaani kuliko original.
Nina dish futi 8 la wavu lilichongeshwa mwaka 2003 mpaka sasa hivi nadunda nalo signal ni burudani sana TBC na Startv zipo mwake, wavu oyeee!!!
Tafuteni decoda za Mpeg4 mtafute na fundi ategeshe degree 36E mtazipata kupitia Agape bila chenga mi nna muda mrefu sana nazipata kupitia hapo tangu wamepotea.
Nina dish futi 8 la wavu lilichongeshwa mwaka 2003 mpaka sasa hivi nadunda nalo signal ni burudani sana TBC na Startv zipo mwake, wavu oyeee!!!
twende taratbu,
hata dekoda ynga ya Mpeg 2 itaweza kukamata, na lnb gan hapo itahusika?
ni Chenels gan tapata hapo!