hii habari ya kwanza kwamba wana ccm wasichague viongozi wenye kashfa haikuonyeshwa kwa sababu za kiufundi napata mashaka kwa kua kulikua na muda wa kuiandaa ukiziingatia tbc walikua live,hakuna mkono wa mtu?
wabongo bana yaaani tatizo kidoooooogo la kiufundi wanaanza longolongo tuuu, sasa we unafikiri mkono wa nani?? tukuwe kifikra jamani acheni ku formulate logic zisizo na maana bana.