Wacha kiwatetea azam,hii sio mara ya kwanza kuwadanganya wateja wake utakumbuka yale mashindano ya Africa yaliyofanyika Misri baada ya Tz kutolewa na wao wakakata kuonyesha mpira, sisi tunaofatilia soka tunaboreka sana na azam wanapotudanganya tulipie king'amuzi chao alafu mpira hawaonyeshi na hii ni kwa sababu ya kudandiadandia vya rahisi na bure matokeo yake wanachinjiwa baharini dk za mwishoPamoja na mapungufu ya Azam hivi unaamini TBC wanaweza kuonesha mechi vizuri kuliko Azam? TBC wako vizuri kiutendaji kuliko Azam? Kutooneshwa mechi ya jana kosa la Azam ni kutangaza kuwa wataonesha halafu hawajaonesha, Wangesema tangu mwanzo kuwa hawataonesha sidhani kama ungewaanzishia mada.
Kuna option ya kubadili lugha kwenye remote yakoNatumia dish la azam,kinachonikera ni kuweka sauti watangazaji wa bongo wakati nawao wanaangalia kwenye TV, jambo asipoliona vizuri anasubilia marudio,game inakuwa inakosa mvuto kabisa.......game za La liga hasa zinazohusu Real Madrid na Barcelona...... Wanatia kinyaa kabisa,acheni watangaze wenyewe
Pamoja na mapungufu ya Azam hivi unaamini TBC wanaweza kuonesha mechi vizuri kuliko Azam? TBC wako vizuri kiutendaji kuliko Azam? Kutooneshwa mechi ya jana kosa la Azam ni kutangaza kuwa wataonesha halafu hawajaonesha, Wangesema tangu mwanzo kuwa hawataonesha sidhani kama ungewaanzishia mada.
Azam washaanza kubweteka.Kweli Azam tv anahitaji mpinzani ili aongeze ubora
ukiwa unaangalia mpira kwenye Tv unaona kama wanatumia kamera moja..
Leta maujanja unafunga tsh ngapi jumla kupata Chanel za mpira malipo jee?pale nilesat kubitia oman sport game ilikuwa hd by fundi dish Serengeti mara poleni Sana
Azam washaanza kubweteka.