TBC mnawabeba CCM lakini hawabebeki

Picha halisi za CHADEMA zimeoneshwa ITV. Ile nyomi niloiona imenikumbusha nyomi ya Slaa mwaka jana hapa Mwanza. Chadema nomaaaa............
 
All in all i hope GOD has heard our prayers and i know HE wont let's down.
 
TBC? Waandishi/watangazaji wenyewe kina marine hasani mzee wa there are somebody gas, unategemea nini hapo?
 
Mkapa mwenyewe kaonekana akiongea huku kakata tamaa... mwishowe ikabidi aange kusisitiza kwa nguvu hadi anataka kulia.. nani kama ka mfumu? watu kimia akarudia mara 6 lakini wapi ikabidi ajikatae!
 
Watu wengine bwana kila kitu mnalalamika tu mlitaka tbc wafanyeje?waonyeshe chadema siku nzima?au ndo wakiwaonyesha nyinyi mtashinda?kama ni ubunge igunga mbona tayari ccm wameshinda,tafuteni kazi za kufanya so mnaburuzwa na wanasiasa maslahi wa cdm!
 



Hawa watu kwa CCM sio wachache wa kubeza, maana sera zao si mpya



umeona na hawa vijana ni mashabiki ambao huwezi kuelewa watapigia chama gani
source MICHUZI
 
Vivd Igunga and cdm,I GUNGA WANAENDA KUONESHA NJIA KWA WATANGANYIKA WENGINE all eyes on you.
 
Ila nakosa imani na tume yetu ya uchaguzi maana wanaweza kuyabaka matokeo na kuforce king.
CDM be on alert hasa kwa kura feki na upigaji kura wa mamluki maana kuna watu hawalali leo.
Ukiwa makini asilimia kubwa ya wabunge wa ccm waliopelekwa Igunga kuokoa jaazi ni maningwa wa uchakachuaji majimboni kwao wakiongozwa na Big Ben hasa ile issue ya Zenji naona ndo maana wakampeleka uko pia
 
Eee Mungu wanyonge hawa ni wako na wanahitaji faraja yako kupitia uchaguzi huu mdogo wa Igunga,wewe unajua kabisa hatufanyi fitina wala husuda wala wivu usio na maendeleo,unajua maisha ya watanzania yalivyo,matatizo yaliyo mengi chanzo chake unakijua na manung'uniko yetu juu ya hawa wana-CCM na wanayotutenda unayajua fika,kama nilivyosema hakuna sababu y kuwaonea wivu,chuki kwa V8,majengo yao mashamba yao,viwanda vyao,na kila mali walizo nazo,ila tu zingelipatikana kwa njia halali isyo na unyonyaji wa jasho la walala hoi,Taabu zote hizi kwa muda mrefu,vifo,majuto ya ikila namna,koo kuendelea kuwa za wajinga kwa kutopata elimu bora,magonjwa yanayotokana na huduma duni,Eee Mungu unayajua yote yanayotendeka ndani ya nchi hii,ndio maana tunakuomba utoe faraja kwa wanyonge hawa na wananchi wa Igunga kwa uchaguzi huu,tumechoka sana tena sana na CCM.
 
Hawa watu kwa CCM sio wachache wa kubeza, maana sera zao si mpya



umeona na hawa vijana ni mashabiki ambao huwezi kuelewa watapigia chama gani
source MICHUZI

kwani mtu anawaza kwa kutumia akili(iliyoko kichwani) au vidole?

then ni rahisi kuelewe ujumbe uliopo kwenye hivyo vitambaa
 
Ilikuwa wasome taarifa nyingine ya siku ya wazee duniani.

Lakini wakachomeka kwa staili ya ajabu, tena kwa kuonyesha kuwa hawajakosea, bali waligusa penyewe (mara anaonekana Mzee Mkapa hewani akifuatiwa na Dr. Kafumu).

Habari nzima ilikuwa kama "Imeng'ang'ania" hivi zaidi ya dakika tatu hivi ilimradi kukidhi matakwa na maagizo ya CCM kwa Bw. Mshana Mkurugenzi Mkuu wa TBC ...., kisha msomaji Grace Kingalame anaendelea kwa kusema "Samahani" hiyo ilikuwa ni hitimisho la kampeni za CCM huko Igunga"
 
Kupokelewa Dar?! Jumatatu! Sio Igunga?

Ndo maana unaona maendeleo ya kufa mtu miaka 50 ya uhuru mkuu. nchi ina umeme wa kutosha, barabara nzuri, Maji n.k kwasababu tunafanyia kazi dar na siyo majimboni tulikochaguliwa. magamba nomaaaaa
 
Kwani ze komedi, mzee wa kufikili bungeni/JK (John komba) hwakuwepo?
 
Watu wengine bwana kila kitu mnalalamika tu mlitaka tbc wafanyeje?waonyeshe chadema siku nzima?au ndo wakiwaonyesha nyinyi mtashinda?kama ni ubunge igunga mbona tayari ccm wameshinda,tafuteni kazi za kufanya so mnaburuzwa na wanasiasa maslahi wa cdm!

toa shanga zako hapa! eboh!
 
Kupokelewa Dar?! Jumatatu! Sio Igunga?

Wampokee igunga hawajipendi, si wanajua watachakachua na wanaIgunga hawatakubali kirahisi. Kuepusha shari bora mapokezi Dar. Hahaa kweli magamba kwisha habari yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…