Tangu aondoke Tido Mhando TBC imekufa kwenye kuonyesha gemu
Nashangaa TBC hawaonyeshi mpira wa Tanzania vs Zimbabwe,wakati KBC wanaonyesha live mechi Kati ya Kenya vs Comoro.TFF kuweni makini hii ni mechi ya Watanzania wote na kila mtu anapaswa kuona live.Duniani kote mechi za Timu za Taifa zinaonyeshwa kwenye Television za serikali.Tujifunze kwa wenzetu.
Hii tbc sio ya taifa jamani, nitumie zana gani ili somo lieleweke? nchi nyingi tv za taifa zinaongoza kwa uweledi, ufikivu,kuthamini mahitaji ya watu mfano:Botswana wananchi walitaka tv yao "IWE FTA KWENYE KU" na wapo hivyo na wanaipata kiurahisi kabisa- TANZANIA HAKUNA UWAJIBIKAJI, TBC HAIMFIKIRII MLAJI WA MWISHO.
Wanaudhi kweli nilikuwa naangalia Maisha Plus yaani imebaki wiki ya mwisho ikakatika hadi leo hivyo nilibaki kufuatilia kwa FB na twiter. Nadhani wanataka wauze ving'amuzi vyao vya startimes kwa ajili ya kombe la dunia.Serikali hii kila kitu chake ni shida,shule,hospitali umeme nk.Hii tbc sio ya taifa jamani, nitumie zana gani ili somo lieleweke? nchi nyingi tv za taifa zinaongoza kwa uweledi, ufikivu,kuthamini mahitaji ya watu mfano:Botswana wananchi walitaka tv yao "IWE FTA KWENYE KU" na wapo hivyo na wanaipata kiurahisi kabisa- TANZANIA HAKUNA UWAJIBIKAJI, TBC HAIMFIKIRII MLAJI WA MWISHO.
Point Mkuu, sijui hawathamin kabisa kiu ya watanzania kutaka kufatilia tim yetu wananikera hawajui tu!!!!