Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Nimejaribu kufuatilia matangazo ya mpira kupitia TBC radio (inafahamika kama TBC Taifa) na kugundua kuwa mechi zinazo husisha timu za Simba na Yanga tu kwenye VPL hata iwe Kagera basi mechi lazima itangazwe! Hii sio sahihi kabisa, toeni haki kwa timu zote panapowezekana.