TBC?
Ipi?
Ile ya udaku na taarabu?
Ile ya chama cha wakoloni wazawa?
Dingi yangu ni Miongoni mwa magamba lakini katu hawezi kuangalia Tbccm.
INAKUAJE UNAANGALIA TBC?
Huna kazi ya kufanya?
Ni bora ulale kuliko kuicheki hii tv.
TBC?
Ipi?
Ile ya udaku na taarabu?
Ile ya chama cha wakoloni wazawa?
Dingi yangu ni Miongoni mwa magamba lakini katu hawezi kuangalia Tbccm.
INAKUAJE UNAANGALIA TBC?
Huna kazi ya kufanya?
Ni bora ulale kuliko kuicheki hii tv.
Hiyo kwanza nataka niwasilishe startimes ombi la kuichomoa toka ktk king'amuzi changu nisione kabisa.
bora niangalie katuni kuliko tbc
Pole sana mkuu, achana na hiyo TV station uchwara, wacha wale kodi zetu 2015 watazirudisha, kazi kuonyesha cheleko upuuzzzzzmtupu!Asalaaam wana jammvi:Leo asubuhi ktk jambo kwenye kipengele cha kusoma magazeti,TBC na mtangazaji wao ameonekana akiwa na magazeti ma3 tu,yaani JAMBO LEO,MTANZANIA na UHURU,na magazeti haya yana vichwa vya habari vya kukishambulia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA),huku msomaji akisoma kiushabiki na akidai magazeti mengine kama nipashe,rai,mwananchi hayajafika,najiuliza inawezekana vp kwa kituo cha Star tv kuyapta magazeti yote ya leo saa 12 alfajili?alafu TBC saa 01:30 asubuhi waseme hayajafika kama si fitna dhidi ya CHADEMA?na kibaya mkitumia kodi zetu sisi walala hoi,huu ni upuuzi