Asalaaam wana jammvi:Leo asubuhi ktk jambo kwenye kipengele cha kusoma magazeti,tbc na mtangazaji wao ameonekana akiwa na magazeti ma3 tu,yaani JAMBO LEO,MTANZANIA na UHARU,na magazeti haya yana vichwa vya habari vya kukishambulia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA),huku msomaji akisoma kiushabiki na akidai magazeti mengine kama nipashe,rai,mwananchi hayajafika,najiuliza inawezekana vp kwa kituo cha Star tv kuyapta magazeti yote ya leo saa 12 alfajili?alafu tbc saa 01:30 asubuhi waseme hayajafika kama si fitna dhidi ya cdm?na kibaya mkitumia kodi zetu sisi walala hoi,huu ni upuuzi
Bado unaangalia TBC? Pole sana
Niliwahi kuposti hapa kuwa umeshawahi kujiuliza kwanini unalipa kodi na kodi yako inakusaidiaje ? Nilishambuliwa shambuliwa kidogo hapa. Lakini hiki ulichopost humu ndio kilintuma kupost ile kitu! Mimi ni Mpare tunasifika sana kuwa tuwabahili lakini ki ukweli sisi sio wabahili ila tunapotoa senti zetu tunataka tuone zimetumikaje mpaka senti ya Mwisho. Kama utatumia vibaya hakika hutapata tena senti ya mpare. Hivyo basi ni jukuumu letu mimi na wewe kuhakikisha matumizi ya kodi zetu yanakuwa sahihi. Kwa kuanzia tu ni vyema usiitizame tena TV hiyo kama umdau katika kutangaza biashara zako huko acha! mwisho wa siku watakosa watazamaji na watajifunza jinsi ya kutumia kodi zetu vizuri
Naombeni radhi bhana nipo lindi huku nina kiji antena leo hakuna tv inashika zaidi ya hii tv ya kipuuzi,nilitaka kusikia magazeti,kumbe washenzi hawa fitna wamepeleka hadi kwenye magazeti wanayabagua?hovyo kabisa
Naombeni radhi bhana nipo lindi huku nina kiji antena leo hakuna tv inashika zaidi ya hii tv ya kipuuzi,nilitaka kusikia magazeti,kumbe washenzi hawa fitna wamepeleka hadi kwenye magazeti wanayabagua?hovyo kabisa[/QUOTE
Ulijuaje kilichosomwa Star TV kama umwnasa chanel moja tu? habari za Asubuhi ndugu yangu?

Nimesikiliza redio free kupitia studio za star tv.......vp lete swali lingine ndugu.
Tangu alipoondolewa Tirdo Mhando hapo TBC, kituo kinapangiwa habari za kuripoti.siku ghorofa lilipoanguka vituo binafsi viliripoti taarifa hiyo immediately kama "breaking news" ila TBC walichelewa kuripoti wakiendelea kusubiri ruhusa ya wakubwa wao.
Nimesikiliza redio free kupitia studio za star tv.......vp lete swali lingine ndugu.
Sawa Mkuu. Wk end wapi huko maana Kitimoto nasikia hakuna kabisa.
Kuliko kupoteza muda na kulialia kama kitoto cha paka ni bora ukayaombe hayo makampuni yanayochapisha hayo magazeti unayotaka yasomwe uwe unawasaidia kuyawahisha TBC.
Kama magazeti hayajafika ulitaka wafanyaje?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums