ubaya wa TBC kama alivyowahi kusema zitto hawajiendeshi kibiashara wao mishahara yao inatoka kwenye kodi so watangaze habari nzuri au mbaya they dont care wawe watu wanafurahia kuangalia tv yao au hawafurahii they dont care kwani hawalipwi mishahara kutegemea matangazo na ili upatae matangazo inamaana channel yako iwe inapendwa hili ndio tatizo la tasisi za serikali.... wanalipwa kwa kodi zetu si kwa kuzalisha ndio maana taasis nyingi za serikali utendaji wao ni hafifu sana kam si zero!!!
mbona magazeti ya serikali yaliandika hii habari,,au mnataka apewe kipindi MAALUMU
Imekugusa eeenheee?
Pole kwa kuendelea kuangalia TBC, ila siku ukiacha hutorudi kuiangalia kamweHili binafsi sijalifurahia kwani ni ni mpenzi wa TBC habari sijaona mpaka magazetini.habari kiundani nimezipata hapa JF!
Huo Sio uzalendo habari kwa Manufaa ya wananchii!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Hapana ingewatendea haki watazamaji waoUna maana wangetangaza hii ingeweza kuongeza matangazo????!!!
Hapana ingewatendea haki watazamaji wao
Imekugusa eeenheee?
Ni vyema kutorusha hewani habari za mtu mzinifu na mwenye kuleta maafa yasababishwayo na uzinzi
Kwa nini usingerusha hiyo habari wewe kwenye vyombo vyako vya habari unavyomiliki:shocked:?????Je hii kweli ni haki maana vituo vingine vimetangaza ila TELEVISION YA TAIFA imeona sio habari!!
This is not fair,
How do you think it is not fair?Je hii kweli ni haki maana vituo vingine vimetangaza ila TELEVISION YA TAIFA imeona sio habari!!
This is not fair,
mpalestina mbele ya mali/pesamushi ni mshikaji wao tbc!!! Take it from me. Wana hasira na ufoo kabisa!!!! Yataibuka mengi mwaka huu na ngoja apate nafuu atoe maelezo ya kina ili afunguliwe kesi!!!! Tapeli huyu!!!!!! I wonder uchumba wa miaka 10 bila kuwa na kibali cha cheti cha ndoa, hakika ni lazima jamaa aligonga kisiki!!!! How dare unathubutu badilisha hati ya mali ya mtu hata kama umezaa naye!!! How dare!!!!?? Kweli nimeamini wanayosema kuhusu wapalestina!!! Atoke hospitali aje akane hapa!!! Na kwa taarifa tu ndugu wa mushi watatota kila evidence hadi nyaraka za mushi za malalamiko kuhusu huyu tapeli!!!!! Sisitizo, kuua au kuchukua sheria mkononi haitakiwi!!! Mushi hakutakiwa kuua bali alitakiwa afuate taratibu za kisheria kumaliza mgogoro wake na ufoo wa saro.
Mjifunze uzinifu na kudhulumu ma boy friends zenu nyumba walizowajengea wakiwa darfur au!
Je hii kweli ni haki maana vituo vingine vimetangaza ila TELEVISION YA TAIFA imeona sio habari!!
This is not fair,