kwani Tanzania ina Television ya taifa au ndio gofu tu kama kampuni ya ndege au shirika la meli au umeme au bandari au wizi TRA au treni, yaani tuna vidonda tu, lakini je alaumiwe Rais peke yake kwa haya yote au jamii ndio ina laana? mengi ya makumpuni haya yemeachwa yafe kabla ya Kikwete