mkuu, kuna uwezekano wamiliki wanaiona tibisiwani ni redundant. habari ya mujini kwa wamiliki sasa hivi ni kilaudis!Wadau naomba kujuzwa kwa mwenye taarifa yeyote juu ya tatizo walilonalo TBC 1, ni wiki ya pili sasa matangazo yao huku Kanda ya ziwa hayaonekani vizuri na hakuna taarifa yeyote kunani pale jamani..