True. I have noticed that too... Their playlists always bangWakuu kwa wale mliobahatika kuskia TBC international hasa wale wapenzi wa electro music mtakubaliana nami kwamba hawa jamaa ni shida na unaweza usijue kama ni TBC maana kama ni pini za ukweli hawa jamaa wameshindikana. Nilikuaga nikitoka kwenye mishe zangu naiskia bila kujua ni radio gani sasa siku naskia ni TBC international nikacheka kwanza nikasema how comes jamaa ni wajanja hivi? Changamoto ni kwenye watangazaji wao hawako vizuri sana ila uzuri hawana story nyingi ni pini kali tu. Hakyanani huenda jiwe hajawaskia maana sidhani kama hizi pini anazielewaga... Asijewarudisha kupiga zilipendwa. Binafsi TBC sijawahi kuwaelewa, ila kwa hii TBC international nawapa salute sana. Big up and keep it up seems u have the best djs
Sasa ukitaka kuskia utam wa hizi pini uwe unadrive long journey afu uwe alone umeshindilia playlist ya kufa mtu huku pembeni unaredbull unashushia na korosho... E bhana eeeh...unaweza shtuka umefika Zambia wakat kumbe unaishia mbeyaTrue. I have noticed that too... Their playlists always bang
Mimi kwenye hizo zingine watanisamehe tu siwezi kuwa namskia jiwe kila saa bora nile zangu electro funks tu kama vile niko Level 8Tbc mi kiujumla nawaelewa tu siku hizi! jamaa wako vizuri sana
Tuwaamini wako vizuri
Mi hata habari naangalia tbc, redio hata kwa ndinga ni tbc fm
Mkuu hapo wale njiwa watakua wapo likizo labda. Jamaa wana zingua kama nchi ipo kwenye state of emergency..Sasa ukitaka kuskia utam wa hizi pini uwe unadrive long journey afu uwe alone umeshindilia playlist ya kufa mtu huku pembeni unaredbull unashushia na korosho... E bhana eeeh...unaweza shtuka umefika Zambia wakat kumbe unaishia mbeya
Yap Tbc radio wako vzr sn wanaujua mziki.Hila kuangalia Tbc1 tena habari hapana..seriously kuna vitu utamiss sana kuangalia Tbc television ni kama kuwa na smartphone bila bundle yaani ni upwekeTbc mi kiujumla nawaelewa tu siku hizi! jamaa wako vizuri sana
Tuwaamini wako vizuri
Mi hata habari naangalia tbc, redio hata kwa ndinga ni tbc fm
Ukajikuta kasumba lesa bodaSasa ukitaka kuskia utam wa hizi pini uwe unadrive long journey afu uwe alone umeshindilia playlist ya kufa mtu huku pembeni unaredbull unashushia na korosho... E bhana eeeh...unaweza shtuka umefika Zambia wakat kumbe unaishia mbeya