TBC hamuoni aibu?

vamda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
919
Reaction score
598
Televisheni ya Taifa (TBC) inayoendeshwa kwa kodi za wananchi imeshindwa kuwahudumia watanzania kutokana na kupunguza masafa yake(signal). Sasa hivi TBC inaonwa na watu wachache hapa nchini. Televisheni nyingi za watu binafsi zinawafikia watu wengi ikilinganishwa na TBC. Hata Msumbiji wametushinda maana hadi sisi tunaoishi kanda ya ziwa tunaona chaneli zao vizuri kwa kutumia madishi hata yale madogo. TBC hamuoni aibu?
 
TBC ilikuwepo enzi za Mhando sasa kuna TBCCM
 
Hawana issue hao wanatangaza habari za tabaka tawala na tabaka tawaliwa wamesahau kabisaa, shame on them!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…