Graphics Designer wa TBC anafanya kazi gani?

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Apr 12, 2018
2,499
4,211
Hivi huyu Mtu wa Graphics TBC amekaa tu na ameridhika kabisa na kazi yake?

Yaani hapa ndipo mwisho wa akili yake katika kudesign hata Logo tu ambayo inabeba taswira yote ya shirika kubwa la taifa kama TBC?

Hivi hawezi kujifunza hata kwa Televishen za wenzetu? Hata kama hakuna content za maana ndani ya channel lakini hata design nazo ziwe local kiasi hicho?

Maandishi font za kizamani,Rangi hazivutii.Yaani hata ile alama yao ya "MBASHARA" walivyodesign wanaona ni sawa tu? Graphics hazina mvuto kabisa.

Videographer yupo tu? Na anakula mshahara?

Tukija kwenye Sound ndiyo matatizo matupu! Volume unaweka 30 inajiongeza yenyewe mpaka 50 ukipunguza na yenyewe inarudi sifuri .Yaani tafran mara ipande mara ishuke.

Yaani likija lile litangazo la "unaangalia TBC 1" Sauti mpaka majirani wanashtuka,mpaka mtazamaji naye anashtuka kama alisinzia! Ukishika remote kupunguza sauti inarudi normal baada ya tangazo sauti inashuka kabisa hata hausikii

Matatizo madogo kama haya ni aibu kwa chombo cha Taifa! Ukiachilia mbali content zake zisizokwenda na wakati, Mfano baadhi ya vipindi na nyimbo kurudiwa rudiwa miezi mingi bila mabadiliko! Ina maana hata vituo vya watu binafsi vinaizidi serikali kwa ubora! hali ya kuwa bajeti ya serikali ni kubwa zaidi yao.

TBC mjitafakari
TBC12007.jpg
 
Swala la camera pia ni changamoto Kubwa mfano kukiwa na tukio linalorushwa live na tbc, washika camera sijui huwa wanalala utakuta kuna Jambo linatolewa ufafanuzi ili ulielewe ni lazima camera I face mzungumzaji lkn unakuta washika camera wameelekeza kwenye soli ya kiatu ya mtu mwingine halafu kamera inawekwa hapo for 3minutes,what the f*** hebu tbc toeni hao washika camera bhn wawepo watu smart wanaoweza kufatilia kinachosemwa kwenye vipindi vyao vya live
 
ili upate kazi TBC qualification ya kwanza ni degree mpaka masters.

huwa nawaambia watu kila siku, kazi zinazohusu masuala ya ubunifu hazihitaji mtu awe na degree, ni talent base.

usishangae ukiambiwa aliyebuni hiyo logo na mkuu wake wa idara, wote wana masters ya mass communication. ila ukija kwenye output yao ni utopolo kama hivyo.
 
Hivi huyu Mtu wa Graphics TBC amekaa tu na ameridhika kabisa na kazi yake?

Yaani hapa ndipo mwisho wa akili yake katika kudesign hata Logo tu ambayo inabeba taswira yote ya shirika kubwa la taifa kama TBC?

Hivi hawezi kujifunza hata kwa Televishen za wenzetu? Hata kama hakuna content za maana ndani ya channel lakini hata design nazo ziwe local kiasi hicho?

Maandishi font za kizamani,Rangi hazivutii.Yaani hata ile alama yao ya "MBASHARA" walivyodesign wanaona ni sawa tu? Graphics hazina mvuto kabisa.

Videographer yupo tu? Na anakula mshahara?

Tukija kwenye Sound ndiyo matatizo matupu! Volume unaweka 30 inajiongeza yenyewe mpaka 50 ukipunguza na yenyewe inarudi sifuri .Yaani tafran mara ipande mara ishuke.

Yaani likija lile litangazo la "unaangalia TBC 1" Sauti mpaka majirani wanashtuka,mpaka mtazamaji naye anashtuka kama alisinzia! Ukishika remote kupunguza sauti inarudi normal baada ya tangazo sauti inashuka kabisa hata hausikii

Matatizo madogo kama haya ni aibu kwa chombo cha Taifa! Ukiachilia mbali content zake zisizokwenda na wakati, Mfano baadhi ya vipindi na nyimbo kurudiwa rudiwa miezi mingi bila mabadiliko! Ina maana hata vituo vya watu binafsi vinaizidi serikali kwa ubora! hali ya kuwa bajeti ya serikali ni kubwa zaidi yao.

TBC mjitafakariView attachment 2005694
Kigezo cha TBC kupata kazi kwanza lazima uwe na kadi ya ccm sasa jiulize mtu gani mwenye qualifications nzuri alafu awe na kada wa ccm!
 
ili upate kazi TBC qualification ya kwanza ni degree mpaka masters.

huwa nawaambia watu kila siku, kazi zinazohusu masuala ya ubunifu hazihitaji mtu awe na degree, ni talent base.

usishangae ukiambiwa aliyebuni hiyo logo na mkuu wake wa idara, wote wana masters ya mass communication. ila ukija kwenye output yao ni utopolo kama hivyo.
Tatizo sio masters, unaweza kuwa na masters na ukawa na kipaji pia. Shida ni pale mtu ana uhakika wa mshahara afanye kazi asifanye kazi pesa ipo! Given!

Pia wengi kwenye hiyo chaneli ni makada wa chama
 
ili upate kazi TBC qualification ya kwanza ni degree mpaka masters.

huwa nawaambia watu kila siku, kazi zinazohusu masuala ya ubunifu hazihitaji mtu awe na degree, ni talent base.

usishangae ukiambiwa aliyebuni hiyo logo na mkuu wake wa idara, wote wana masters ya mass communication. ila ukija kwenye output yao ni utopolo kama hivyo.
“Kazi zinazohusu masuala ya ubunifu hazihitaji mtu awe na degree, ni talent base.” - smarte_r / Wed, 10 Nov 2021
 
Back
Top Bottom