Tbc fm online

Lokissa

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Messages
7,445
Points
2,000

Lokissa

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2010
7,445 2,000
hi wanaJF sasa unaweza kusikiliza TBC FM online. tembelea site yao www.tbc.go.tz then angalia upande wa kulia utaona listern tbc fm live bofya hapo, TBC taifa nayo wameandika live ila sijaipata. walau tuwapongeze MAGAMBA wamejitahidi kwa hili baaya ya kuwasema kwa muda mrefu kutokuwa online.wanapaswa KUITOA TBC SERIKALINI ILI IMILIKIWE NA UMMA kama ilivo KBC na mashirika mengine ya habari itafika mbali zaidi. natumai habari kuwa online ya TBC haijawahitolewa kama ndio sio mbaya.
 

Forum statistics

Threads 1,355,834
Members 518,774
Posts 33,121,252
Top