TBC Ardhio, kweli nzi akiacha ujinga atatengeneza asali

TBC Ardhio, kweli nzi akiacha ujinga atatengeneza asali

vnn

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
3,030
Reaction score
7,499
Kipindi cha TBC aridhio kimeprove ule usemi usemao siku nzi akiacha ujinga atatengeneza asali.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mumpe, alieanzisha hiyo idea nampongeza sana, boresheni na vipindi vingine.

Mungu ibariki TBC ardhio
Mungu mbariki Mbowe
Mungu ibariki CHADEMA!
Mungu ibariki Tanzania!
 
Kwenye huu ukweli hutapata washereheshaji lakn umeongea ukweli inatoshaa muafi
 
Ngoja ije kamati ya roho mbaya..
 
Kipindi ni kizuri ila wana mpangilio mbaya wa habari
 
Kipindi cha TBC aridhio kimeprove ule usemi usemao siku nzi akiacha ujinga atatengeneza asali.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mumpe, alieanzisha hiyo idea nampongeza sana, boresheni na vipindi vingine.

Mungu ibariki TBC ardhio
Mungu mbariki Mbowe
Mungu ibariki CHADEMA!
Mungu ibariki Tanzania!
Marin Hassan Amefariki, Aridhio zaidi ya kutuonyesha nguo zao za Spesho kariakoo hawan habari ya maana, wanahoji mataga na hakuna developing news.
Wajifunze kwa ITV ile ya zamani kabla haijabanwa pumb* na serikali.
Wajifunze Citixen na KTN.
 
Back
Top Bottom