TBC aibu leo!

TBC aibu leo!

bullet

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
1,047
Reaction score
543
Katika hali ya kustaajabisha katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu TBC wametangaza habari za mzee Mkapa kumpigia ka;mpeni Sioi huko Arumeru mashariki lakini katika kuweka picha zikatokea picha za Nasari!
Mtangazaji Amina Moleli kwa aibu kakatisha habari kuwa mambo hayajawa sawa! Sijui ni ajari au makusudi?
Chanzo TBC: saa mbili usiku leo
 
Hivi bado mnaangalia TBC? mimi nilishaacha siku nyingi
 
Jamani acheni kuangalia hicho kituo kuna vituo vingi vyenye akili waacheni na kituo chao waangalie wenyewe kwani ukiangalia TBC ujue unakosa mengi sana yanayotokea nchini
 
Katika hali ya kustaajabisha katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu TBC wametangaza habari za mzee Mkapa kumpigia ka;mpeni Sioi huko Arumeru mashariki lakini katika kuweka picha zikatokea picha za Nasari!
Mtangazaji Amina Moleli kwa aibu kakatisha habari kuwa mambo hayajawa sawa! Sijui ni ajari au makusudi?
Chanzo TBC: saa mbili usiku leo

Maumivu ya kichwa huanza polepole! Tido toka Bush House London,tukamleta TVT Bamaga,TVT ikawa TBC! Tukamtimua!
 
izo ni laana za tido aliwatoa mbali sana hao jamaa matokeo yake tena bila aibu usiku usiku wakamtimua hata haya hawana
 
hakuna haja kuwa na tv ya taifa bora ife tu mana ni tv ya ccm!
 
sasa hivi wameweka kipindi cha taarabu hili ndio shirika la utangazaji la Tanzania
 
mi nahic nawachukia zaid.
Ngoja nikae kimya. J2 njema wakuu
 
sipendi sisiem, sipendi yanga, sipendi tbc.............sipendi sipendi sipendi kama umechukia nipotezee.
 
sipendi sipendi,
sipendi tbc
sipend yanga
sipendi man u.
 
sipend ccm,
sipend man u
sipend yanga
simpend lowassa
 
poleni sana mnaoangalia TBC hata kirefu chake nimeshasahau sijui ni Tanzania Boring Channel ama ni nini? CDM haitumii media,s power bali ni people's power.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom