TB Joshua prophesies Mugabe’s death?

Mimi natofautiana sana na watu wengi kumuhusu TB Joshua..na nawashangaa watanzania na walimwengu kwa ujumla.Kama tunakubali kuwa Shekh Yahya alikuwa ni kimeo kwanini tukubali TB Joshua tumkubali? Huyu jamaa ni janga kwa dunia kwasasa.

wote matapeli, lengo lao pesa yako. siku 60 hazijapita tangu atabiri kifo cha kiongozi? Inawezekana jamaa kabobea kwenye uchawi, anaweza kumwua yeyote akitaka
 
Hawa matapeli mnawapa atention yote hii ya nini, joshua sijui uchafu gani wote wezi tuu.madhehebu yenye imani kama hizi wote ni washirikina full stop ndo yaleyale ya loliondo

Mkuu wakikusikia wenyewe akina Mzee wa upako na yule wa Efata watakukemea ushindwe na kulegea.. Yaani biashara zao unaita ushirikina..
 
Kuna rumours kuwa rais wa Malawi hatko nae tena. Hbari bado kudhibitishwa.
 
nimepata taarifa ya uhakika toka kwa marafiki zangu walioko Zomba - Malawi, wanasema rais Bingu wa Muthaarika is now dead lakini state bado hawajatangaza.
 
Back
Top Bottom