Jaribu kuifuta kabisa hiyo email humo kwa simu kisha iweke upya uoneInaandika maneno hayo hapo kwenye picha niloonyesha lakini cha ajabu ukifungua iyo email kwa simu nyingine au kwa Laptop inakubali tu je hili ni tatizo gani? Au simu ishakua kimeo?
Jaribu kuifuta kabisa hiyo email humo kwa simu kisha iweke upya uone
They have already hacked Ur account...!
ahsante sana mydear Howt Lady nimesikitishwa sana nahii habar ya hawa Nokia kusitisha hii huduma ya Emails
ANDROID watazidi kua juu siku zote
ata akifanya ivyo hatopata suluhu Nokia walishaiuza na huduma iyo ya Emails ilishasitishwanokia kauza kampuni toka mwaka jana, aliediscontinue hizo simu ni microsoft sababu ndie anaezimiliki kwa sasa.
opera kapewa tenda na microsoft ya kuziendeleza simu kama yako hivyo wao ndo wapo responsible kwa app zinazofanya kazi.
ni vyema kama utaenda opera mobile store halafu ukatafuta app ya email nyengine japo nna waswas kama push notification haitafanya kazi.
ata akifanya ivyo hatopata suluhu Nokia walishaiuza na huduma iyo ya Emails ilishasitishwa