mtabechama
Member
- Aug 29, 2015
- 61
- 13
Kudadadeki zao...hata wakitoroka wakamatwe wafilisiwe kwa kukwepa kodi..
Hivi ukiona waarabu huwa unanyevuliwa?Wamefunguwa kampuni zingine kwa hiyo hawana haja ya kubaki na Home Shopping, ni business strategy tu.
Ni uongo kuwa wamekimbia uchaguzi, wapo tena wapo sana tu.
SEREKALI YOYOTE ITAKAYOINGIA MADARAKANI NI LAZIMA IIFIKISHE HII TIMU YA KIFISADI MAHAKAMANI NA ITAKAPOBIDI WAFILISIWE POPOTE PALE WALIPO NA WATAKAPOKIMBILIA
iiii