TAZARA na ajira

TAZARA na ajira

Nyakarungu

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2011
Posts
472
Reaction score
377
Nimeona tangazo la ajira za tazara zikiwemo za huko zambia, ila nilitaka kupiga simu niwaulize baadhi ya mambo ili nijue kama naweza kuaply hasa zile za vituo vya kazi zilizo zambia lakini sina namna ya kupata namba zao msaada pls
 
Hebu tupia hapa hilo tangazo nasi tulione tuweze fanya 1,2,3 maana hata msaada unaoutaka twashindwa kuutoa.
 
Nimeona tangazo la ajira za tazara zikiwemo za huko zambia, ila nilitaka kupiga simu niwaulize baadhi ya mambo ili nijue kama naweza kuaply hasa zile za vituo vya kazi zilizo zambia lakini sina namna ya kupata namba zao msaada pls
Mkuu unapokuja humu jaribu kuja na full details ili wakuu wengine waweze kukusaidia; Taarifa haijakamilika hapo, Hainyeshi kazi gani, Unaombaje? Vitu gani vinahitajika n.k
Tupia Tangazo hapa usaidiwe kwa usahihi na ubora kabisa.
 
Back
Top Bottom